Posted on: February 7th, 2018
Vikao hivyo vilianza kwa kumkumbuka aliyekuwa Mh. Diwani wa Kata ya Wangi kwa kusimama na kunyamaza kimya kwa muda wa dakika tano, mheshimiwa huyo aliyefariki kwa maradhi yaliyokuwa yanamsumbua ...
Posted on: January 23rd, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mh. Jabir Shekimweri ameitisha kikao cha dharura kujadili usafi wa mazingira kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha ambazo zinasababisha kusomba na kusambaza takataka ovyo kati...
Posted on: January 17th, 2018
Mkutano wa Wadau wa Elimu wilayani Mpwapwa hufanyika kila mwaka na ulianza rasmi mwaka 2017, ila kwa mwaka huu 2018 pamoja na mambo mengine mkutano huu ulihusisha wadau mbalimbali kama vile viongozi w...