Utawala na Utumishi
Watumishi wa Halmashauri
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ina jumla ya Idara (13) na Vitengo sita (6) kwa muundo wa uboreshaji wa mfumo wa Serikali za Mitaa yenye ikama ya watumishi 3,719 kwa mchanganuo unaoonekana katika Jedwali
Kazi za idara
a.Kuendeleza watumishi, miapango ya maendeleo pamoja na taarifa.
b.Kuwezesha upimaji wa utendaji.
c.Kusimamia Waatumishi wa ngazi ya Juu na Kati.
d.Kusimamia mifumo ya udhibiti rasilimali wat una menejimenti.
e.Kuishauri Halmashauri katika masuala ambayo yanahusu rasilimali watu.
f.Utekelezaji wa Sera mbali mbali ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa amani inakuwepo katika.maeneo ya kazi.
g.Kutafsiri sheria , kanuni na nyaraka mbali mbali za Serikali.
h.Kusimamia nidhamu ya Watumishi.
i.Kuandaa bajeti ya Mishahara ya watumishi.
j.Kutengeneza mpango wa kuendeleza vipaji vya watumishi.
k.Kutathimini utendaji kazi wa watumishi
l.Kuajirii na kupandisha Vyeo watumishi.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.