Posted on: May 23rd, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri, leo tarehe 23 Mei 2018 atembelea na kukagua Miradi yote ya Wilaya ya Mpwapwa inayotarajiwa kutembelewa na Mwenge wa Uhuru tarehe 30 Julai 2018. Katika ...
Posted on: May 15th, 2018
Siku ya Familia Duniani huadhimishwa kila mwaka Mei 15, na Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa. Maadhimisho hayo yanatokana na Tamko la Baraza la Umoja wa Mataifa Na. 47/257 la tarehe 20 Septemba 1993 ...
Posted on: May 4th, 2018
Mkuu wa Walaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri, amemuagiza Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Mpwapwa kutembelea miradi ya Vituo vya Afya vya Mima, Kibakwe na Pwaga vinvyoendelea kujengwa, ambapo Kaimu Mk...