Posted on: August 7th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa ambaye ndiye mgeni rasmi, Mhe. Jabir Shekimweni amefungua maadhimisho ya Siku ya Unyonyeshaji Dunia yaliyofanyika kiwilaya katika ukumbi wa kliniki ya watoto katika Hospitali...
Posted on: August 6th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri amewaalika LEAD Foundation kuja wilayani Mpwapwa kuhudhuria kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) kutoa elimu kwa wajumbe wa kamati hiyo juu ya ku...
Posted on: July 30th, 2018
Mwenge wa Uhuru 2018 umewasili leo tarehe 30 Julai 2018 wilayani Mpwapwa ukitokea wilaya ya Kilosa Mkoani Mororgoro. Ambapo kwa mwaka huu Mkoa wa Dodoma umepokea Mwenge huo wa Uhuru wilaya...