Posted on: January 22nd, 2026
Januari 22,2026 kumefanyika kikao cha baraza la Wafanyakazi likiongozwa na kaimu Mkurugenzi Ndg Dismas Pesambili kupitia mapendekezo ya Bajeti ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2026-2027
...
Posted on: January 20th, 2026
Mhe Dkt Sophia M Kizigo Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa amefanya ziara yake ya kikazi wilayani Mpwapwa leo Januari 20,2026 na kukagua mirandi mbalimbali ya kimaendeleo inayoendelewa kujengwa katika Wi...
Posted on: January 15th, 2026
Mkuu wa Wilaya Mhe DKt Sophia Kizigo ameongoza kikao cha kupitisha bajeti ya Halmshauri kilichohudhuriwa na Kamati kuu ya Ulinzi na Usalama Wialaya,Wakuu wa idara na vitengo,watendaji kata pamoja na w...