Posted on: September 28th, 2025
Jamii yahimizwa kuwajibika kuendeleza kuchanja mbwa na paka wao kila baada ya mwaka chanjo hiyo inapotolewa.
Hayo yamebainishwa Leo Septemba 28,2025 na Ndg Obert Mwalyego kwa niaba ya Mkuu ...
Posted on: September 26th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Bi Mwanahamisi H Ally leo Septemba 26,2025 amekabidhi baiskeli za wahudumu wa afya ngazi ya jamii kwa lengo la kuwasidia kutekeleza majukumu ...
Posted on: September 25th, 2025
Taasisi ya INADES wamefanikiwa kuunda jukwaa la kumtunza na kumlinda mnyama punda kwa leng kwa
Lengo la kuhakikisha jamii inapata elimu na uwelewa wa namna ya kumtunza mnyama punda.
...