SEKTA YA KILIMO
Shughuli kuu za wakazi wa Mpwapwa ni kilimo na ufugaji. Mazao ya chakula yanayolimwa ni Mahindi, Mtama, Uwele, Mihogo, Mpunga, Viazi mviringo na Maharage. Mazao ya biashara yanayolimwa hapa ni Karanga, Alizeti, Ufuta na zao jipya la Korosho.
MALENGO YA KILIMO MSIMU 2015/16
Katika msimu 2015/16, jumla ya Ha. 75,917 za mazao ya chakula zimelimwa na kutarajiwa kuzalisha tani 131,924. Eneo la mazao ya biashara lililolimwa ni Ha. 44,773.64 na kutarajiwa kuzalisha tani 64,942. Jumla ya Ha. 1,102 za mazao ya bustani zimelimwa na kutarajiwa kuzalisha jumla ya tani 12,694 Mchanganuo kwa kila zao umeonyeshwa katika majedwali yafuatayo:
Jedwali Na. 1: Mazao ya chakula
ZAO
|
ENEO(Ha)
|
T/Ha |
MATARAJIO YA MAVUNO(T) |
Mtama
|
39,629 |
1.5 |
64,613 |
Mahindi
|
15,899 |
2 |
34,564 |
Mpunga
|
1,650 |
3 |
5,379 |
Muhogo
|
1,231 |
1 |
1,338 |
Uwele
|
4,925 |
1.2 |
5,353 |
Maharage
|
6,297 |
1.5 |
8,214 |
Viazi mviringo
|
1,203 |
1.8 |
1,962 |
Viazi vitamu
|
2,492 |
1.8 |
4,876 |
Kunde
|
2,590 |
1 |
2,815 |
Jumla
|
75,917 |
|
131,924 |
Jedwali Na. 2: Mazao ya Biashara
|
|||
ZAO
|
ENEO(Ha)
|
T/Ha
|
MATARAJIO YA MAVUNO (T) |
Karanga
|
25,548 |
1.5 |
41,655 |
Alizeti
|
10,950 |
1.2 |
14,282 |
Ufuta
|
8,285 |
1 |
9,005 |
Korosho
|
252 |
2.5 |
630 |
Jumla
|
45,035 |
|
65,572 |
Jedwali Na. 3: Mazao Bustani
|
|||
ZAO
|
ENEO(Ha) |
T/Ha |
MATARAJIO YA MAVUNO (T) |
Vitunguu
|
908 |
9 |
8,172 |
Nyanya
|
87 |
26 |
2,262 |
Mchicha
|
24 |
20 |
480 |
Miembe
|
15 |
20 |
300 |
Miwa
|
12 |
30 |
360 |
Kabichi
|
56 |
20 |
1,120 |
Jumla
|
1,102 |
|
12,694 |
PEMBEJEO KWA MFUMO WA VOCHA.
Katika msimu wa kilimo wa kilimo 2015/16 Wilaya ya Mpwapwa imepokea jumla ya Vocha 1000 kutoka wizara ya Kilimo, Chakula na ushirika.Vocha hizo zimegawanywa katika Vijiji 5 kama ifuatavyo:
Jedwali Na. 4: Mgawanyo wa Pembejeo Vijijini
S/N |
KATA |
KIJIJI |
IDADI YA VOCHA |
IDADI YA KAYA ZINAZONUFAIKA |
01.
|
Kimagai
|
Inzomvu
|
200 |
200 |
02
|
Matomondo
|
Mbori
|
200 |
200 |
Tambi
|
200 |
200 |
||
03.
|
Mlembule
|
Mlembule
|
200 |
200 |
04.
|
Malolo
|
Malolo
|
200 |
200 |
|
JUMLA
|
|
1000 |
1000 |
Shamba darasa katika kijiji cha Kibakwe.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.