Kazi za Idara
Kuhamasisha jamii ili iwee kushiriki katika shughuli za kiuchumi zenye kuleta maendeleo.
Kupanga, Kuratibu na kufanya ufuatiliaji wa miradi yote inayotekelezwa katika Halmashauri.
Kuhakikisha kuwa rasimali zote zilizopo zinatumika ipasavyo.
Kuandaa taarifa za robo, nusu mwaka na Mwaka za miradi.
Kusimamia matumizi ya fedha za miradi.
Kufanya Tafiti za maendeleo katika Nyanja za jamii na uchumi
Kuandaa Kanzi data ya Halmashauri
Kufuatilia na kutathimini miradi yote ya maendeleo.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.