Posted on: March 20th, 2017
Mkurugenzi tendaji wa Wilaya ya Mpwapwa Bw. Mohamed A. Maje, amewaasa wananchi wajiunge na mfuko wa Afya ya Jamii ili waweze kutibiwa kwa urahisi pindi watakapougua.Ametoa wito huo katika ...
Posted on: March 24th, 2017
Wadau wa Maji wameadhimisha Kilele cha wiki ya maji wilayani Mpwapwa mnamo tarehe 23.03.2017. Maadhimisho hayo katika ngazi ya wilaya yamefanyika katika kata ya Chitemo ambapo wadau walikutana katika ...