Posted on: September 26th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri amekagua ujenzi wa vituo vya afya unaoendelea katika kata za Mpwapwa Mjini na Kibakwe. Katika ukaguzi huo Mkuu wa Wilaya amejionea hatua mbalimbali zili...
Posted on: September 26th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri leo amekagua hali ya uharibifu wa mazingira na vyanzo vya maji katika kijiji cha Lwihomelo kata ya Wangi wilayani Mpwapwa. Katika ukaguzi huo Mkuu wa wi...
Posted on: September 15th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa leo imeadhimisha Siku ya Usafi Duniani kiwilaya ambapo kwa mara ya kwanza Nchi ya Tanzania imeadhimisha sikuku hiyo ambayo Dunia huadhimisha kila mwaka Septemba 15. Ka...