Posted on: May 14th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kupitia Afisa Muandikishaji Bw..Dismas Pesambili imefanya mafunzo kwa watendaji ngazi ya kata kuhusu mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura...
Posted on: May 8th, 2025
Uongozi wa Afya kutoka Mkoa wa Dodoma umetoa mafunzo kwa Madiwani wa Halmashauri ya Mpwapwa yanayohusiana na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya NHIF Mei 08,2025 katika ukumbi wa Halmashauri.
...
Posted on: May 6th, 2025
Mradi wa NORISH umeanzwa kutekelezwa Wilaya ya Mpwapwa mwishoni mwa mwaka 2024 katika Kata 11 vijiji 39 ukiwa chini ya wafadhili wa Nchi ya Norway kupitia Shirika lake la maendeleo NORAD na k...