kuelekea kilele cha siku ya Wanawake duniani Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kwa kushirikiana na wadau wengine wamefanya matendo ya huruma kwa kutembelea Gereza la wafungwa la Mpwapwa,watoto wenye mahitaji maalum wa Shule ya Msingi Chazungwa na Hospital ya Wilaya kaika wodi ya wazazi na watoto.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.