Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ina shule za Msingi 117 zenye madarasa 117 ya awali. Aidha kumekuwepo na ongezeko la kuandikishwa watoto wa darasa la kwanza na kulingana na malengo ya mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN).
Miundombinu na Watumishi katika shule za Msingi
Halmashauri imeendelea na jitihada za kuimarisha miundombinu ya shule za Msingi ingawa uwezo wa kifedha umekuwa ni changamoto kubwa.
Hali halisi ya miundombinu na watumishi ni kama inavyoonekana katika jedwali Na.6 - 10
Jedwali Na 6: Hali ya Watumishi (Walimu)
Mahitaji
|
Waliopo
|
Upungufu
|
Upungufu %
|
1,578
|
1342
|
236
|
15
|
Jedwali Na 7: Idadi ya Wanafunzi
Aina ya Kiwango
|
2014/2015 |
2015/2016 |
||||
WAV |
WAS |
JUMLA |
WAV |
WAS |
JUMLA |
|
Elimu ya Awali
|
3,961
|
5,646
|
9,607
|
3178
|
3316
|
6494
|
Shule za Msingi
|
28,537
|
30,1609
|
60,146
|
29,555
|
33,594
|
63,149
|
Chanzo: Ofisi ya Mkurugenzi (W)
Jedwali Na 8: Hali ya miundo mbinu shule za msingi Januari, 2016
S/N
|
Aina
|
Mahitaji
|
Yaliyopo
|
Upungufu
|
%ya upungufu
|
1
|
Madarasa
|
1,552 |
800 |
752 |
48 |
2
|
Nyumba za waalimu
|
1,342 |
247 |
1095 |
82 |
3
|
Matundu ya vyoo
|
2818 |
1874 |
944 |
33 |
4
|
Madawati
|
21049 |
10,781 |
10,268 |
48.78 |
5
|
Meza
|
2422 |
966 |
1456 |
60 |
6
|
Viti
|
2497 |
1215 |
1282 |
51 |
7
|
Ofisi
|
373 |
84 |
133 |
36 |
8
|
Stoo
|
237 |
84 |
153 |
65 |
9
|
Kabati
|
1716
|
223 |
193 |
87 |
Chanzo: Ofisi ya Mkurugenzi
(WJedwali Na. 9: Hali ya Uandikishaji Elimu ya Awali na Darasa la Kwanza 2016
Aina ya Kiwango
|
2014/2015 |
2015/2016 |
||||
Me |
Ke |
Jumla |
Me |
Ke |
Jumla |
|
Elimu ya Awali
|
3961
|
5646
|
9607
|
4,245
|
4,395
|
8,640
|
Shule za Msingi
|
5196
|
6074
|
11270
|
4009
|
4873
|
10,253
|
Jedwali Na 10. Ufaulu Darasa la Saba
Mwaka |
Waliofanya |
Waliofaullu |
Waliochaguliwa |
Asilimia Ufaulu % |
||||||
WAV
|
WAS
|
JUMLA
|
WAV
|
WAS
|
JUMLA
|
WAV
|
WAS
|
JUMLA
|
||
2014
|
2567
|
3259
|
5826
|
1111
|
1209
|
2320
|
1111
|
1209
|
2320
|
39
|
2015
|
2391
|
3216
|
5607
|
1165
|
1184
|
2349
|
1165
|
1184
|
2349
|
42
|
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.