Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mpwapwa
Mamlaka ya Mji Mdogo Mpwapwa ilitangazwa rasmi 2004 na kupewa cheti “Certificate of Establishment” mwaka 2006 na kisheria ikawa “Board of Corporate” ikimaanisha kuwa Mamlaka inaweza kumiliki mali inayohamishika na isiyohamishika, inaweza kushtaki au kushitakiwa.
Mamlaka inaundwa na kata moja(1) ya Mpwapwa Mjini ambayo inakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 21,403 kati yao wanawake ni 11,129 na wanaume 10,204 kutokana na Sensa ya mwaka 2012 Kata ya Mpwapwa Mjini ina jumla ya Vitongoji kumi na nane (18) vya Igovu, Ng’ambo, National Housing, Kota, Majengo, Ilolo, Mbuyuni, Kwamdyanga, Mapinduzi, Kikombo, Mwanakianga kati, Mwanakianga kusini, Ubenani, Mjini Mpwapwa, Mikoroshini, Makweja, Ibulila.
Muundo wa Mamlaka ya Mji.
Muundo wa Mamlaka ya mji mdogo kama ifuatavyo:-
VIKAO VYA MAMLAKA:
Mamlaka inakuwa na vikao vya aina nne(4);
KAMATI ZA KUDUMU ZA MAMLAKA YA MJI MDOGO
Maslahi ya Wajumbe wa Baraza la Mamlaka:
Maslahi ya Wajumbe wa Baraza la Mamlaka hayana tofauti na wale wa Halmashauri ila huangaliwa na uwezo wa Mamlaka kuhudumia vikao hivyo kulingana na uwezo wa mapato yake.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.