Posted on: April 27th, 2025
Mwenge wa Uhuru umeangaza na kuzindua Mradi wa Jengo la kuhifadhia zana za kilimo Ng'hambi pamoja na kujionea shughuli mbali mbali zilizokuwa zinaendelea katika Mabanda ya huduma za afya.
...
Posted on: April 27th, 2025
Mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru leo Aprili 27 katika Halmashauri ya Mpwapwa kijiji cha Ng'hambi.
Mwenge wa Uhuru umepokelewa leo kutoka Dodoma Jiji na kupokewa na Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mh...
Posted on: April 26th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji Bi Mwanahamisi H.Ally ameongoza zoezi la kufanya Usafi katika eneo la Hospital ya Wilaya akiwa na watumishi wa Serikali pamoja na Wananchi wa karibu wa eneo hilo, ik...