Elimu Sekondari
Wilaya ina jumla ya Shule za Sekondari 26 zenye jumla ya wanafunzi 8,405 na walimu 362 Kati ya shule hizo, 24 ni za Serikali na kuna Shule 2 za watu binafsi ambazo husomesha wanafunzi waliokosa nafasi katika Shule za sekondari za serikali.
Idara ya Elimu Sekondari ni moja kati ya Idara kumi na tatu (13) za Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa. Idara ya Elimu Sekondari ina jumla ya vitengo viwili ambavyo ni Kitengo cha Taaluma na Kitengo cha Vifaa na Takwimu. Aidha Idara ina jumla ya watumishi 443 ambapo watatu kati yao ni Maafisa katika Idara.Takwimu halisi za watumishi hawa ni kama ifuatavyo:-
NA
|
ENEO LA KAZI.
|
MAHITAJI
|
WALIOPO
|
UPUNGUFU
|
1 |
Maafisa ofisi ya Elimu Wilaya
|
3 |
3 |
0 |
2 |
Walimu masomo ya sayansi
|
173 |
75 |
98 |
3 |
Walimu masomo ya sanaa
|
201 |
352 |
-151 |
4 |
Walimu wa masomo ya biashara
|
5 |
4 |
1 |
5 |
Wahasibu
|
24 |
1 |
23 |
6 |
Wahudumu
|
25 |
2 |
23 |
7 |
Makarani (PS)
|
25 |
1 |
24 |
8 |
Mafundi sanifu ( L/Tech )
|
24 |
0 |
24 |
9 |
Wakutubi
|
24 |
0 |
24 |
10 |
Wapishi shule ya bweni
|
5 |
2 |
3 |
11 |
Walinzi
|
24 |
2 |
22 |
12 |
Mganga shule ya bweni
|
1 |
0 |
1 |
13 |
Dereva
|
2 |
2 |
0 |
14 |
Walezi wa mabweni
|
6 |
0 |
6 |
15 |
Mafundi mchundo
|
24 |
0 |
24 |
16 |
Boharia
|
24 |
1 |
23 |
|
JUMLA
|
590 |
445 |
145 |
ORODHA YA WATUMISHI WA IDARA YA ELIMU SEKONDARI
Na |
Jina la Mtumishi |
Elimu |
Mwaka wa Kuajiriwa |
Umri kazini |
Kitengo |
1
|
Suma Mwampulo
|
Shahada ya Elimu
|
1999 |
18 |
Mkuu wa Idara |
2
|
Coleman Andrew
|
Shahada ya Elimu
|
2007 |
10 |
Afisa Elimu Taaluma
|
3
|
Flora Mkwama
|
Shahada ya Elimu
|
1993 |
24 |
Afisa Elimu Vifaa na Takwimu
|
Idara inatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Dira ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ya kuwa Taasisi inayomjali mteja katika utoaji wa huduma kwa ajili ya maendeleo endelevu ifikapo 2025 na Mwelekeo wa kuwapatia wananchi wake huduma bora za kiuchumi na kijamii kwa kuzingatia misingi ya utawala bora.
Hivyo Lengo kuu la Idara yetu ni kusimamia utoaji wa Elimu bora katika Halmashauri.
Majukumu ya Idara
Kitengo cha Taaluma
Majukumu ya kitengo cha Taaluma ni kama ifuatavyo-:
Kitengo cha Vifaa na Takwimu
Kitengo hiki kina majukumu yafuatayo;
Malengo ya Idara kwa Mwaka wa fedha 2017
Kwa mwaka wa fedha 2017 Idara ilijiwekea malengo yafuatayo;
Kitengo cha Vifaa na Takwimu.
Malengo kwa mwaka wa fedha 2016/2017
Kitengo cha Vifaa na Takwimu
MPANGO KAZI WA IDARA
MPANGO KAZI WA IDARA KWA MWAKA 2017. |
|||||
S/N
|
LENGO
|
KAZI ZITAKAZOTEKELEZWA
|
MUDA WAUTEKELEZAJI |
|
|
1 |
Kuinua kiwango cha elimu kwa shule zenye matokeo dhaifu.
|
Kufanya ukaguzi wa mara kwa mara shuleni
|
Januari - Novemba 2017. |
|
|
2 |
Kuchukua hatua kwa walimu wazembe, wasiojituma na watoro adhabu stahiki.
|
Kufanya ukaguzi wa mara kwa mara shuleni kwa kufuatatilia mahudhurio ya walimu kazini,na kufanya ukaguzi wakiutendaji kazi.
|
Januari-Novemba 2017 |
|
|
3 |
Kurekebisha ikama ya walimu katika Shule zote Wilayani ili kupunguza tatizo la ukosefu wa walimu katika shule nyingine.
|
Kupanga walimu wa ajira mpya kulingana na mahitaji ya Shule ili kurekebisha ikama.
|
Januari hadi Julai 2017 |
|
|
4 |
Kushughulikia madeni mbalimbali ya walimu.
|
Kuendelea kuwatambua walimu wenye madeni halali na kuwasilisha kwa mkaguzi mkuu wa ndani kuhakikiwa kwa lengo la kuingizwa katika orodha ya madeni.Kushugulikia fedha za likizo kwa walimu wanao stahili kwenda likizo.
|
Januari hadi Novemba 2017. |
|
|
5 |
Kuratibu na kufuatilia ujenzi wa maabara tatu Kw akila Shule .
|
Kufuatilia kiasi cha michango inayotolewa na ya wananchi kwa kukaa na watendaji na Wakuu wa Shule kuendelea kuhamasisha ukusaji wa michango kwa lengo la kukuamilisha ujenzi huo
|
Januari hadi Novemba 2017. |
|
|
6 |
Kusimamia na kuendeleza michezo kwa shule za sekondari
|
Kuhakikisha kuwa mashindano yanafanyika kama ratiba ilivyopangwa ikiwa ni pamoja kutoa motisha kwa kuboresha zawadi na vifaa bora vya michezo
|
Januari hadi Novemba 2017. |
|
|
7 |
Kusimia utekelezaji wa sera ya elimu bila malipo
|
Kuhakikisha wanafunzi wote wa sekondari katika wilaya wanapata elimu bila malipo,ikiwa ni pamoja na kusimamia matumizi sahihi ya fedha za elimu bila malipo kulingana na miongozo ya wizara,pia kuhakikisha hakuna mchango wowote unaochangishwa shuleni bila kibali.
|
Januari hadi Novemba 2017. |
|
|
8 |
Kusimamia ukarabati na ujenzi wa miundombinu ya shule
|
Kufuatilia na kukagua miundombinu ya Shule kama vyoo,madarasa na nyumba za walimu,kwa kuelekeza na kusimamia ukarabati wake ikiwa ni pamoja na kuratibu ujenzi wa majengo mapya.
|
Januari hadi Novemba 2017. |
|
|
9 |
Kutatua tatizo la madawati na vifaa vyakujifunza na kufundishia.
|
Kushiriana na wadau mbalimbali na Serikali ili kutatua tatizo la madawati. Pia kusimamia matumizi sahihi ya fedha za elimu bila malipo ili Kuhakikisha vifaa vya kutosha vinanunuliwa shuleni.
|
Januari hadi Novemba 2017. |
|
|
10 |
Kununua vitendea kazi bora vya ofisi.
|
Kuomba fedha kwa ajili ya kununua vitendea kazi vya idara kama compyuta 2 na printer 2 ili kuboresha utendaji kazi wa idara
|
Januari hadi Novemba 2017. |
|
|
11 |
Kuratibu usajili wa watahiniwa wa kidato cha Nne na cha Pili .
|
kugawa vifaa vya usajili kwa watahiniwa wa mtihani wa taifa wa kidato cha pili na cha nne kwa Wakuu wa Shule na kutoa maelekezo ya usajili .
|
Januari 2017 hadi machi 2017. |
|
|
|
|
|
|
|
|
HALI YA UFAULU
Katika matokeo ya mtihani wa taifa kwa kidato cha nnne mwaka 2016 . Asilimia 60% ya watahiniwa wamefaulu mtihani huo kwa daraji la kwanza hadi la nne kati ya watahiniwa 1539 waliofanya mtihani huo.Aidha ufaulu huu ni sawa na ongezeko la asilimia 11.76 ukilinganisha na 48.24 % ya wanafunzi waliofaulu mwaka jana kati ya watahiniwa 1565 waliofanya mtihani.
Aidha kidato cha pili 93% ya wanafunzi wote 1757 waliofanya mtihani wa upimaji wa kitaifa wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu ,ukilinganisha na asilimia 91.3% ya wanafunzi 1506 waliofanya mtihani mwaka jana 2015.
Ufaulu huu umetokana na mikakati iliyowekwa na kitengo cha taaluma kwa mwaka jana ikiwemo kusimamia ufundishaji, na mitihani ya mara kwa mara ya kuwapima watahiniwa wa kidato cha pili na cha Nne.
Kiambatanisho A na B vinaonesha matokeo ya mitihani ya kitaifa kwa miaka sita kwa kidato cha pili na Nne toka 2011 hadi sasa.
Vitendea Kazi.
Pamoja na upungufu wa vitendea idara inavyo vitendea kazi kama ilivyoorodheshwa katika jedwali hapo chini;
NA |
AINA YA KIFAA |
IDADI |
HALI YA KIFAA |
1 |
MEZA
|
5 |
NZIMA ZINATUMIKA
|
2 |
VITI VYA MBAO
|
15 |
VIZIMA VINATUMIKA
|
3 |
VITI (EXCUTIVE)
|
2 |
KIMOJA KINATUMIKA NA KIMOJA NI KIBOVU
|
4 |
CABINET
|
4 |
NZIMA ZINATUMIKA
|
5 |
SHELFU ZA MBAO
|
4 |
NZIMA ZINATUMIKA
|
6 |
MIHURI
|
12 |
MIZIMA
|
7 |
FIRE EXTINGUISHER
|
1 |
NZIMA ZINATUMIKA
|
8 |
COMPUTER (DESK TOP)
|
1 |
NZIMA INATUMIKA
|
9 |
LAP TOP
|
3 |
MBILI NZIMA ,MOJA NI MBOVU
|
10 |
HARD DISK
|
1 |
NZIMA INATUMIKA
|
11 |
GARI LANDCRUISER
|
1 |
NZIMA INATUMIKA
|
12 |
BENCHI ZA KUKALIA
|
2 |
NZIMA ZINATUMIKA
|
13 |
PRINTER
|
1 |
NZIMA INATUMIKA
|
14 |
PHOTOCOPY MACHINE
|
1 |
NZIMA INATUMIKA
|
Miundombinu
Na
|
Aina
|
Mahitaji
|
Yaliyopo
|
Upungufu/Ziada
|
1 |
Madarasa
|
384
|
268
|
116
|
2 |
Vyoo vya walimu
|
48
|
32
|
16
|
3 |
Vyoo vya wanafunzi
|
385
|
315
|
70
|
4 |
Maabara
|
72
|
10
|
62
|
5 |
Nyumba
|
372
|
106
|
266
|
6 |
Jiko
|
4
|
1
|
3
|
7 |
Hosteli
|
48
|
19
|
29
|
8 |
Maktaba
|
24
|
1
|
23
|
9 |
Jengola utawala
|
24
|
17
|
7
|
10 |
Madawati
|
8930
|
7821
|
1109
|
Vifaa vilivyopo havitoshi na hivyo vinaathiri sana utekelezaji wa majukumu, na vilivyopo vimeshakuwa vya muda mrefu na hivyo kuhitaji matengenezo ya mara kwa mara, Idara imeweka katika mpango wa bajeti ya 2017/2018 kununua vifaa vya ofisi.
MAJUKUMU YALIYOTEKELEZWA HADI SASA.
Kumekuwepo na zoezi la ukaguzi wa shule kuanzia January mwaka huu na tayari shule kumi na mbili kati ya shule 25 za serikali zimefanyiwa ukaguzi yakinifu wa kitaaluma. Shule hizo ni Mazae,Mwanakianga,Vingawe,Mpwapwa,Mount igovu,Ihala,Chunyu,Kibakwe,Pwaga,Mtera,Chipogoro na Matomondo.
Aidha kaguzi huu uliwahusisha Maafisa wote Idara ya Elimu Sekondari,Katibu wa TSD Wilaya na mdhibiti Ubora wa Shule kutoka Idara ya Udhibiti Ubora Wilaya.
Lengo la ziara hizi ni kusimamia Taaluma, nakuwajengea uwezo walimu juu ya mbinu mbalimbali za ufundishaji.
Ukaguzi huu unaendelea katika kuhakikisha kuwa shule zote zinakaguliwa.Shuguli zilizofanywa na idara kutoka januari hadi sasa ni kama ifuatavyo-:
Jedwali Na 11: Hali ya miundombinu shule za Sekondari Januari, 2016
S/N
|
Aina
|
Mahitaji
|
Yaliyopo
|
Upungufu
|
1
|
Madarasa
|
225 |
268 |
- |
2
|
Nyumba za Walimu
|
372 |
91 |
281 |
3
|
Matanki ya kuvunia maji ya mvua
|
24 |
4 |
20 |
4
|
Matundu ya vyoo Wanafunzi
|
374 |
291 |
83 |
5
|
Matundu ya vyoo Walimu
|
48 |
26 |
22 |
6
|
Maktaba
|
24 |
1 |
23 |
7
|
Bwalo
|
24 |
1 |
23 |
8
|
Stoo
|
35 |
5 |
30 |
9
|
Hostel
|
78 |
19 |
59 |
10
|
Majengo ya Utawala
|
24 |
17 |
7 |
11
|
Jiko
|
24 |
1 |
23 |
12
|
Maabara
|
75 |
6 |
69 |
13
|
Solar
|
18 |
0 |
18 |
14
|
Madawati
|
7,694 |
7,694 |
1,130 |
Suma Mwampulo- Mkuuwa Idara
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.