Halmashauri ya Wilaya inazo rasimu za daftari la Mali za kudumu (Fixed Assets Register Books) kama ifuatavyo:-
Magari na mitambo.
Samani na vifaa vya ofisini vilivyogharamiwa na uboreshaji wa miundo ya Serikali za Mitaa.
Ardhi na Majengo
Bodi ya Zabuni ndio chombo kinachoshughulikia shughuli zote za manunuzi ndani, Wajumbe wa Bodi mpya waliteuliwa mwishoni mwa mwaka 2014 baada ya Bodi iliyokuwepo kumaliza muda wake. Wajumbe hawa walichaguliwa kwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya serikali za mitaa.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.