Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
Mwenyekiti Wa halmashauri ndiye Mwenyekiti wa kamati hii
Kamati hiii inaundwa na Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Halmashauri Pamoja na Wajumbe wanaoteuliwa na Mwenyekiti
Kamati hii hufanya Vikao vyake Kila Mwezi na kujadili taarifa za Utekelezaji wa Shughuri za kila siku za Halmashauri.
Wajumbe wa Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.