Kinyonga Aina ya Werner’s Anayepatikana katika Hifadhi ya Milima ya Rubeho
Hii ni mojawapo ya aina ya Chatu ambaye awali alikuwa akipatikana katika Safu za milima ya Uluguru lakini kwasasa anapatikana pia katika Hifadhi ya Milima ya Rubeho.
Hii ni Aina Mpya ya Chura anayepatikana katika Hifadhi ya Milima ya Rubeho ambayo hata Wanasayansi bado Hawajaifanyia utafiti wa utambuzi.
Kwa Maelezo ya Kina , Fuata Linki Hii : http://www.mpwapwadc.go.tz/storage/app/uploads/public/590/62c/500/59062c5001654035043782.pdf
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.