Fedha na biashara
Kazi za Idara
Kubaini na kusimamia Vyanzo vya mapato vya Halmashauri.
Kusimamia fedha kwa mujibu wa Miongozo ya mamlaka husika.
Kuandaa bajeti ya Halmashsuri kwa kushirikiana na Idara ya mipango.
Kuhakikisha kuwa matumizzi yote ni kwa mujibu wa bajeti na kuna kuwa na thamani ya fedha.
Kutunza taarifa za fedha na kuziwasilisha kila zinapohitajika.
Kufunga hesabu za Halmashauri kila inapo fika tarehe 30 ya Mwezi wa sita katika mwaka wa fedha husika.
Kujenga mahusiano mazuri na wateja wa ndani na wale wa nje ii kujenga taswira nzuri ya Halmashauri.
Kuandaaa tarifa ya fedha ya mwezi na robo mwaka ambayo mara baada ya kupitiwa na timu ya wataaalamu wa Halmashauri huwasilishwa katika kamati ya Fedha uongozi na Mipango.
Kushirikiana na idara nyingine katika kuandaa taarifa ya tthimini ya utekelezaji wa miradi ambayo huwasilishwa katika kamati ya Bunge inayohusikaa na masuaala ya serikali za mitaa.
Kuandaa na kusimamia taratibu zinazowezesha matumizi sahihi ya rasilimali fedha na zisizo fedha za Halmashauri , Kutoa mafunzo kwa wajasilia mali katika kuomba leseni za biashara katika Wilaya.
Kukagua leseni na kuwawezesha wajasiliamali kushiriki katika biashara.
To inspect licenses in the district and facilitate the participation of entrepreneurs in trade fair
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.