Posted on: May 26th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri ametoa wito kwa wananchi wote wa wilaya ya Mpwapwa kufanya usafi katika maeneo ya makazi, biashara na ofisi. Haya yamesemwa na mwakilishi wa Mkuu wa Wil...
Posted on: May 25th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri amelazimika kuitisha kikao cha dharura na wamiliki wa nyumba za kulala wageni (guest, lodge and hotel) baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa utoaji hudu...
Posted on: May 25th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri leo amefungua mafunzo ya saratani ya malngo wa kizazi katika Ukumbi Mkubwa wa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa. Mafunzo hayo ni ya siku moja na yametolew...