Posted on: July 27th, 2021
Wanafunzi nane wa Shule ya Msingi Mbori katika Wilaya ya Mpwapwa wamefunikwa na kifusi cha mchanga baada ya kutumwa na mwalimu wao kwenda kuchota mchanga katika kingo za mto Mbori kwa ajili ya ujenzi ...
Posted on: June 24th, 2021
Wilaya ya Mpwapwa imepata Mkuu wa Wilaya Mpya Mhe. Josephat Paul Maganga awali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma ameteuliwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania kuwa Mkuu ...
Posted on: June 16th, 2021
Watoto wa Wilaya ya Mpwapwa leo katika kuadhimisha Sherehe za Siku ya Mtoto Afrika wamelalamikia mambo mbalimbali yanayofanywa na watu wazima ambayo kwa namna moja au nyingine yanaathiri ukuaji wao ki...