Katika kuadhimisha siku ya Wanawake duniani Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya MUungano wa Tanzania imeendelea kuchukua jitihada mbali mbali za kuhakikisha kuwa wanawake wanapata fursa na haki sawa katika nyanja zote za jamii.
Hayo yamebainishwa Machi 8,2024 na Mhe.Dorothy Gwajima ,Waziri wa Maendeleo ya jamii jinsia,Wanawake na makundi maalum kwenye viwanja vya shule ya Msingi Chinangali II Wilaya ya Chamwino wakati wa maadhimisho ya kilele cha siku ya wanawake duniani Mkoa wa Dodoma.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.