Posted on: February 25th, 2024
Wajumbe wa ALAT Mkoa wakiendelea na ukaguzi wa miradi ya kimaendeleo katika kijiji cha Mbugani kilicho kuwepo ndani ya Wilaya ya Mpwapwa, wamekagua Bwawa la umwagiliaji maji Msagali.
...
Posted on: January 26th, 2024
Waziri wa Ujenzi Mhe.Innocent Bshungwa amefanya iara ya kukagua miradi mbalimbali ya Ujenzi wa Barabara inayoendelewa kujengwa ikiwemo barabara ya Wilaya ya Mpwapwa yenye km7.5Wakati wa Ziara hiyo ili...
Posted on: January 26th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule kila mmoja ana wajibu wa kusimamia kikamilifu fedha za miradi ya kimaendeleo.
Mh.Senyamule ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchi wa kijiji c...