Mamlaka ya Maji Mpwapwa
Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Mpwapwa ilianzishwa rasmi mnamo tar 01/07/2003 chini ya bodi yake ya kwanza ambayo ilitokana na tangazo la serikali namba 258 la Tar 21/06/2002.Mamlaka ipo eneo la Ujenzi jirani na ofisi za Finca, Barabara ya kwenda Dodoma. Mpaka sasa mamlaka inatoa huduma ya maji mjinin Mpwapwa kwa wateja zaidi ya 2926 ambao wameunganishwa na huduma za maji toka mamlaka. Maeneo yetu ya huduma ni katika mitaa ya Mpwapwamjini,Kotta,Kikomboroad,Kikombo,Ngambo,NHC,Mwanakianga,Mazae,T.T.C.Mjimpya,Ilolo,Vighawe Hazina na Majengo.
Vyanzo Vya Maji
Mamlaka ina Vyanzo vya Maji aina mbili ambavyo ni:
UWEZO WA VYANZO:-
NO |
|
CHANZO |
ENEO KILIPO |
AINA |
UWEZO M3/KWA SIKU |
1.
|
|
Mayawile
|
Kiboriani Hills
|
Chemchemi.
|
691.2
|
2.
|
|
Kikombo
|
Kikombo
|
kisima
|
1920
|
3.
|
|
Kikombo
|
Kikombo
|
kisima
|
1920
|
4.
|
|
Mji Mpya
|
Ilolo
|
kisima
|
172.8
|
5.
|
|
Mji Mpya
|
Ilolo
|
kisima
|
720
|
6.
|
|
Mji Mpya
|
Ilolo
|
kisima
|
360
|
|
|
JUMLA |
5,784
|
Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Maji
Mafundi wakiendelea na kazi ya Kukarabati Miundombinu katika eneo la Mradi (Picha imepigwa katika eneo la Kikombo Tarehe 28.05.2016 )
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.