Posted on: October 11th, 2019
(Na: Shaibu J. Masasi, Afisa TEHAMA - Mpwapwa)
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri amefungua Kikao cha maandalizi ya Kampeni ya Chanjo ya Magonjwa hatari ya Surua, Rubella na Polio. Kik...
Posted on: September 27th, 2019
Wadau Mradi wa Lishe Endelevu unaofadhiriwa na Shirika la Deloitte wamepata fursa ya yapitia Maazimio ya Kamati ya Lishe ya Wilaya ya Mpwapwa katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri y...
Posted on: September 24th, 2019
(Na: Shaibu J. Masasi, Afisa TEHAMA - Mpwapwa)
Mradi wa TIMIZA MALENGO umetoa Mafunzo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kwa maafisa Kilimo na mifumo toka ngazi za kata na vijiji ambapo mafunz...