Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe Dkt Sophia Mfaume kizigo leo Agosti 19,2025 ameendelea na ziara yake ya kikazi ya kutembelea miradi ya kimaemdeleo na kuskiliza na kutatua kero za Wanachi katika Jimbo la Mpwapwa na kukagua.
_Ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa na matundu nane ya vyoo katika Shule ya Sekondari Ngh'ambi
_Umaliziaji wa vyumba viwili vya madarasa Shule Shikizi Ilingo iliopo kata ya Chunyu
_Umaliziaji wa chumba kimoja cha darasa Shule ya Msingi Msungwi Mazae.
Na kufanya mkutano wa hadhara na Wanachi wa kila kata kwa lengo la kuskiliza kero zao n kuzipatia utatuzi.
"Kero yako wajibu wangu"
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.