Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Bi Mwanahamisi H Ally leo Agosti 15,2025 ametoa vyeti vya wafanyakazi hodari kutoka chama cha TALGU kwa wafanyakazi wa seksheni tofauti.
Hafla hiyo ya utoaji wa vyeti imefanyika katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri na kuwapongeza wote waliopata nafasi ya kuteuliwa kuwa wafanyakazi hodari.
Pia aliwaasa wasilewe na sifa badala yake waendelee kufanyakazi kwa bidii.





Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.