(Na: Shaibu J. Masasi, Afisa TEHAMA - Mpwapwa)
Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa leo imefanya kikao cha kuwasilisha taarifa za robo ya nne kwa mwaka wa fedha 2018/2019 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya hiyo. Katika kikoa hicho kilichohudhuriwa na wakuu wa idara wote wanaoshiriki moja kwa moja katika shughuli za lishe wilayani hapa, wakiwemo wakuu wa idara ya Maendeleo ya Jamii, Kilimo, Usafi na mazingira, Mipango, Afya, Elimu, Utumishi na TEHAMA.
%Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.