Wadau wa Water for People wamewapongeza na kutoa tunzo kwa watunza Mazingira na vyanzo vya Maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwa na miongoni mwa waliopata tunzo hizo ni mkuu wa Gereza la Mpwapwa Ndg:Justi Kipeta.
Ghafla hiyo imehdhuriwa na Mh.Dkt Sophia Mfaume Kizigo Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa katika ukumbi wa Halmshauri Machi 26,202
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.