Kuelekea kilele cha siku ya Muungano Tanzania,ambapo Kitaaifa yataadhimishwa katika uwanja wa Uhuru Dar es salam taasisi za kiserikali mbaliambali zimejikita katika kuonesha kusherehekea siku hiyo kwa mapambo ya kiserikali katika majengo yao.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.