Afisa Utumishi Ndg.Evarist Sostenes amewapokea baadhi ya Ajira Mpya wa kada mbali mbali wakiwemo Kilimo,Afya na Afisa Ushirika na kuwasainisha fomu za maadili ya kiutumishi wa Umma ikiwa ni maelekezo ya Serikali kwa watumishi wapya.
Pamoja na hayo Ndg Sostenes amempongeza Mkurugenzi Mtendaji Bi Mwanahamisi H Ally kwa kupatiwa watumishi hao katika Halmashauri yake ikiwa ni muendelezo wa matunda ya Uongozi wa awamu ya sita chini ya kiongozi mahiri Mh Dkt Samia Suluhu Hassan.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.