Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara, Ndugu Stephen Wasira amefanya ziara yake ya kikazi Aprili 24,2025 ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kukagua utèkelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Mpwapwa na kukagua uboreshaji wa miundo mbinu ya Afya katika Hospital ya Wilaya.
Wakati wa ziara yake hiyo Ndg Wasira ameonya kuwa Chama chake hakitounga mkono fikra na mawazo ya wenye nia yakunja Muungano kwa kuwa yana lengo la kuvuruga Amani,umoja na Mshikamano wa Taifa, ameyasema hayo ikiwa zimebaki siku chache za kuadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.