Mkuu wa Wilaya Mh Dkt Sophia Kizigo amefanya ziara ya kukagua Miradi itakayopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru ikiwa zimebaki siku chache tu upokelewe Mwenge huo.
Wakati wa ziara yake hiyo ametembelea mradi wa Kilimo,Afya,Miundombinu,vVjana Mshikamano four ways,Maji,Elimu pamoja na Utawala bora,
Zira hiyo imefanyika April 25,2025 wilayani Mpwapwa.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.