Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mpwapwa na Kibakwe Ndg Eliaichi R Macha ameyafunga mafunzo ya Wasimamizi wasaidizi ngazi ya Kata yaliyoendeshwa kwa muda siku tatu kuanzia Agosti 4 hadi 6,2025 katika Ukumbi wa Mpwapwa Sekondari.
Akifunga mafunzo hayo Ndg Macha amewasisitiza wanamafunzo kutunza kiapo cha siri walichokiapa na kutokiuka kiapo hicho.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.