Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2025 wilayani Mpwapwa zimemalizika salama chini ya usimamizi mzuri wa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mh Dkt Sophia M Kizigo na mwenge huo kukabidhiwa rasmi Mkoa wa Dodoma Aprili 28,2025 huku ukisindikizwa na kauli mbiu isemayo
"Jitokeze kushiriki Uchanguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu".
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.