Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Ngazi ya Kata leo Agosti 4,2025 wamekula kiapo cha kujitoa unachama wa Chama Cha Siasa kutojihusisha na chama chochote kwa kipindi chote cha uchaguzi na kula kiapo cha kutunza siri mbele ya Hakimu Mkaazi wa Wilaya ya Mpwapwa Mh.Timoth.
"Kura Yako Haki Yako Jitokeze Kupiga Kura"
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.