Mhe Dkt Sophia Mfaume Kizigo,Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa ameongoza kikao cha kamati ya Maji,Usafi wa Mazingira na Usafi binafsi cha robo ya kwanza Novemba 20,2025.
Katika kikao hicho,ambacho wataalam mbali mbali waliwasilisha taarifa zao za utekelezaji wa maji,usafi binafsi na usafi wa mazingira.
Kikao kimefanyika katika Ukumbi wa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa.



Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.