Mratibu wa LIC (Local Investment Climate Project) na katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa watembelea na kutathimini mafanikio na changamoto ya miradi inayofahiliwa na LIC. Msafara huo uliambatana na maafisai na wadau mbalimbali kutoka sekta binafsi, OR - TAMISEMI, Manispaa ya Dodoma na ALAT.
Miradi iliyotembelewa na kukaguliwa ni Jengo la Kituoa Kimoja cha Biashara (One Stop Business Center), Josho la Kibakwe na Mradi wa Ufugaji wa Nguruwe katika Chuo cha Mifugo Visele. Katika kutembelea miradi hiyo taarifa mbali mbali zilisomwa mbele ya wageni hao.
Taarifa hizo ni kama zifuatazo:-
Taarifa ya Mfumo wa mapato kabla na baada ya kutumia Mifumo ya kielektroniki (LGRCIS na POS)
Taarifa ya Mfumo wa Mapato.pdf
Mapato kabla na baada ya POS na LGRCIS.xls
Wageni wakiwa kwenye utambulisho na kueleza madhumuni ya ujio wao.
Wakikagua Kituo Kimoja cha Biashara na kupata fursa ya kuongea na watendaji wa kituo hicho
Wakikagua Kituo Kimoja cha Biashara na kupata fursa ya kuongea na watendaji wa kituo hicho
Wakiwa wamemaliza kukagua Kituo Kimoja cha Biashara
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.