Profesa Tiberio Romanus Mdendemi Mhadhiri wa chuo cha mipango dodoma leo Febuari 9,2026 ameuzindua rasmi mpango mkakati wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa baada ya kuupitisha kwa kina na kwa ufafanuzi wa kila kipengele cha mpango huo.
Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Halmashauri na kuhudhuriwa na Wakuu wa Idara na Vitengo.
#chuochamipangododoma












Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.