Febuari 04,2026 kaimu Kaimu Afisa Tawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu Ndg Evarist Sostenes amefanyaziara ya ukaguzi wa mradi Boost wa Shule ya Msingi Malolo kuona hatua zillizofikia na zinaendelea katika mradi huo.
Wakati wa ziara hiyo amekagua vyumba vya madarasa matatu na matundu sita ya vyoo ambayo yapo hatua ya kuinua baada ya kumalizia kumwaga jamvi na kiasi cha Shiling 80,000,000 kimepokelewa kutoka Boost kwa ajili ya mradi huo.





Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.