Kituo cha Elimu ya Watu wazima Matomondo kimepokea ugeni kutoka Tamisemi Januari 29,2026 na kufanya mazungumzo na walengwa wanaopatiwa elimu mbali mbali za watu wazima na baadae kupanda miti katika eneo hilo kwa lengo la kuendeleza Uhifadhi wa Mqzingira katika maeneo yetu.






Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.