Waziri wa Nch AiOfisi ya Makamo wa Rais Mhe.Dkt Sulemani Jafo amefanya ziara ya ukaguzi wa Mradi wa kuhimili Tabia Nchi katika kata ya Ngambi kijiji cha Kazania wilayani Mpwapwa Machi,19 2024.
Mhe.Jafo amekagua mradi wa Kitalu nyumba wenye thamani ya sh.25,694,200.00 na kisima kirefu cha maji kwa ajili ya umwagiliaji chenye thamani ya sh. 27,000,000.00,
Pia amezindua majengo na vituo vitatu vya ujasiriamali wa ushonaji,na kukabidhi vyereheni 21 na vifaa vyengine vya ushanaji.
Jumla ya wajasiriamali 45 watanufaika na mradi huo wenye thamani ya sh million43,kupitiamradi ulioratibiwa na EBARR
EBARR ni Mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kutumia Ikoloji Vijijini.Mradi huu unasimamiwa na Ofisi ya Makamo wa Rais.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.