Hayo yamebainisha na Naibu Waziri,Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Deus Sangu wakati wa Mahafali ya 37 ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Kibakwe na kuwataka wazazi kutimiza jukumu la malezi ya Watoto badala ya kuwaachia Walimu peke yao kutokana na Wimbi kumbwa la mmong'onyoko wa maadili unaoikumba jamii.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.