Wasimamizi wa Uchaguzi wa vituo vya kupigia kura kwa ajili ya Serikali za Mitaa wapata mafunzo Novemba 23,2024 katika Ukumbi wa Mpwapwa Sekondari
wakati wa mafunzo hayo msimamizi mkuu wa Uchaguzi Bi.Mwanahamisi H Ally amewataka wasimamizi hao wa vituo kuzingatia yale yote yanayofundishwa kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi na kuhakikisha wanatunza siri ya kazi hiyo pamoja na kutenda haki.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.