Wananchi wa Mpwapwa Wamejitokeza kwa Wingi Siku ya Mazoezi inayofanyika kila jumamosi ya wiki ya pili ya kila mwezi yaliyoasisiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Saluhu Hassan tangu Mwaka 2018.
Kwa upande wa Mpwapwa, Mazoezi hayo yamehamasishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Jabir Shekimweri na kuwavutia taasisi na wananchi kwa ujumla. Pia Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa amewahamisha wananchi wote kuanzisha Jogging Club kila Mtaa na mpaka sasa kuna club nane katika mitaa nane ikiwemo; Kikombo, Mji Mpya, Hazina, Mjini Kati, Mwanakianga, Mazae, National Housing na Ilolo Club.
Club mbalimbali za mazoezi za Wilaya ya Mpwapwa zikifanya mazoezi ya pamoja katika Viwanja vya Shule ya Msingi Chazungwa kwenye Siku ya Jumamosi ya Mazoezi

Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.