Wananchi wa Wilaya ya Mpwapwa, leo Oktoba 29, wamejitokeza kwa wingi kupiga kura ikiwa ni Uchaguzi Mkuu wa kuwachagua viongozi kuanzia ngazi ya Udiwani, Ubunge pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti Wananchi hao wamewataka wakaazi wa Mpwapwa kujitokeza kupiga Kura ili kuwachagua viongozi ambao watakuwa mstari wa mbele kuwaletea Maendeleo katika Wilaya yao.
"Kura yako Haki Yako, Jitokeze kupiga Kura"
Bado hujachelewa.
##Tumehuruyataifayauchaguzi












Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.