Wakuu wa Idara na Vitengo wakiongozwa na kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndg Dismas Pesambili leo Septemba 12,2025 wamefanya ziara ya kutembelea mradi wa Jengo la Ofisi ya Halmashauri linaloendelea kujengwa katika eneo la Mmbuyuni, na kufanya kikao na wasimamizi wa mradi huo kwa.lengo la kutambua maendeleo yaliyofikia na kutatua changamoto zinazojitokeza.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.