Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe.Dkt Sophia M.Kizigo ameongoza kikao cha wadau wa makundi mbali mbali wakiwemo Mchifu,Viongozi wa kidini,Watumishi wa Serikali,vijana wa boda boda na viongozi wa vyama vya Siasa ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa hamasa za ushiriki wa upigaji kura wa Serikali za Mitaa,Mhe Kizigo amewataka wadau hao kudumisha amani na utulivu katika kipindiu chote cha uchaguzi.
kikao hicho kimefanyika Novemba 27,2024 katika Ukumbi wa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa.
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: 0684705551
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.