Afisa uandikishaji Wilaya Bwana Dismas Pesambili ameongoza kikao cha wadau mbali mbali wakiwemo wadau wa Dini,Vyama vya siasa,Machifu,makundi maaalum,Wawakilishi wa vijana na wajasiria mali kwa lengo la uhamasishaji wa Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga Kuralitakaloanza Disemba 27,2024 hadi Januari 02,2025.
Wakati wa kikao hicho Bw.Pesambili amewata wadau hao wawe Mabalozi wazuri wa kutoa hamasa kwa waliopo katika jamii zao ili waweze kujitokeza kwa wingi katika kuboresha Dafatari hilo
Mpwapwa - Dodoma, Tanzania
Anwani: S.L.P 12
Simu: 255 26 2320122/2320
Simu ya Kiganjani: +255 688639341
Barua pepe: info@mpwapwadc.go.tz
Copyright © 2021 Mpwapwa District Council . All rights reserved.